Skip to main content

Carrito de compra

¡Obtienes el tratamiento VIP!

Artículos no disponibles para compra.
Por favor revisa tu carrito. Puedes eliminar los artículos no disponibles ahora o los eliminaremos nosotros automáticamente al momento de pagar.
artículosartículo
artículosartículo

Recomendado para ti

Loading...
  • Mungu Mwana, Mwongozo wa Mkufunzi

    Capstone Module 10, Swahili Mentor Guide

    Utambulisho wa Yesu wa Nazareti na kazi yake bila shaka ni somo muhimu zaidi katika tafakari na huduma zote za Kikristo. Ni ukweli usiopingika kwamba haiwezekani kuhudumu katika Jina la Bwana Yesu Kristo ikiwa huduma hiyo imejengwa juu ya maoni na mitazamo potofu na ya aibu kuhusu yeye alikuwa nani (na ni nani), maisha yake yalimaanisha nini, na vile tunavyopaswa kumchukulia leo. Kuwa na ufahamu ... Leer más

    $10.00 USD o gratis con Kobo Plus

  • Mtaala wa Cornerstone, Mwongozo wa Mkufunzi

    Cornerstone Curriculum, Swahili Mentor Guide

    Mtaala wa Cornerstone ni mafunzo ya hali ya juu kwa viongozi wa Kikristo ambao huenda wasihitaji au wasiwe na muda wa kupata mafunzo ambayo huchukua miaka kadhaa. Mtaala huu unatoa maarifa na ujuzi kuhusu uongozi wa Kikristo katika muundo mfupi. Mafunzo haya bora yanajumuisha sehemu kuu tatu. ... Leer más

    $10.00 USD o gratis con Kobo Plus

  • Fight the Good Fight of Faith (Swahili Edition, DRC)

    Playing Your Part in God's Unfolding Drama

    This practical, helpful resource is especially designed to help new and growing Christians become effective disciples/warriors of Christ, and is built entirely on the Story of God as told in the Scriptures. Following the thematic outline of Ephesians, this lesson guide helps believers understand what the Bible says about the key dimensions of our participation in God’s grand Story in nine ... Leer más

    $7.99 USD

  • Ufalme wa Mungu, Kitabu cha Mwanafunzi

    Capstone Module 2, Swahili Student Workbook

    Kati ya mambo yote yaliyohubiriwa na kufundishwa na Yesu wa Nazareti, hakuna somo lolote lililo muhimu na lenye kubishaniwa kama habari ya Ufalme wa Mungu. Wasomi wote wa kihafidhina na wasomi huru wanakubali kwamba somo alilopenda zaidi Yesu, ambalo alihubiri na kufundisha mara nyingi zaidi, ni Ufalme wa Mungu. Lilikuwa ni ujumbe wake wa wokovu, mpango wake mkuu, na theolojia yake pendwa na ya ... Leer más

    $10.00 USD o gratis con Kobo Plus

  • Theolojia ya Kanisa, Kitabu cha Mwanafunzi

    Capstone Module 3, Swahili Student Workbook

    Kanisa la Mwenyezi Mungu katika Yesu Kristo ni mojawapo ya mada zenye kuburudisha na muhimu zaidi katika Maandiko yote. Yesu wa Nazareti, kupitia kifo chake, kuzikwa, na ufufuo wake, ameinuliwa kuwa kichwa juu ya watu wake wapya, wale walioitwa kumwakilisha duniani na kutoa ushahidi wa Ufalme wake ambao tayari upo japo haujakamilika bado. Kuelewa jukumu la Kanisa katika mpango wa ufalme wa Mungu ... Leer más

    $10.00 USD o gratis con Kobo Plus

  • Misingi ya Utume wa Kikristo, Kitabu cha Mwanafunzi

    Capstone Module 4, Swahili Student Workbook

    Mada ya utume (umisheni) haijapewa mkazo na uzingativu upasao katika makanisa yetu ya mijini. Baada ya kuonekana kwa kiasi kikubwa kama kazi ya kuvuka bahari kwenda pembe za mbali za dunia, tumeshindwa kuipa uchambuzi wa kina na muhimu ambao inastahili. Kwa mtazamo wa upande mmoja, ukamilifu wa imani ya Kikristo unaweza kuonekana kama mwitikio wa utume, wito wa kwenda kwa mataifa na kumtangaza ... Leer más

    $10.00 USD o gratis con Kobo Plus

  • Misingi ya Utume wa Kikristo, Mwongozo wa Mkufunzi

    Capstone Module 4, Swahili Mentor Guide

    Mada ya utume (umisheni) haijapewa mkazo na uzingativu upasao katika makanisa yetu ya mijini. Baada ya kuonekana kwa kiasi kikubwa kama kazi ya kuvuka bahari kwenda pembe za mbali za dunia, tumeshindwa kuipa uchambuzi wa kina na muhimu ambao inastahili. Kwa mtazamo wa upande mmoja, ukamilifu wa imani ya Kikristo unaweza kuonekana kama mwitikio wa utume, wito wa kwenda kwa mataifa na kumtangaza ... Leer más

    $10.00 USD o gratis con Kobo Plus

  • Wito Halisi: Kumwakilisha Kristo na Ufalme Wake Kupitia Kanisa

    An Authentic Calling, Swahili Edition

    Katika warsha hii tutatafuta kuelewa, kutambua, na kukiri wito wa kibinafsi wa Mungu, tukichunguza mienendo ya wito huo tunapoangalia karama, mamlaka na fursa anazotoa. Tutajadili masuala na maswali kuhusiana na kuishi wito wa Mungu na kuchunguza athari za kufanya huduma katika kanisa mjini. Kozi hii ni nyenzo muhimu sana kwa wale wanaozingatia wito wa Mungu katika maisha yao na ya wengine ... Leer más

    $10.00 USD o gratis con Kobo Plus

  • Ufalme wa Mungu, Mwongozo wa Mkufunzi

    Capstone Module 2, Swahili Mentor Guide

    Kati ya mambo yote yaliyohubiriwa na kufundishwa na Yesu wa Nazareti, hakuna somo lolote lililo muhimu na lenye kubishaniwa kama habari ya Ufalme wa Mungu. Wasomi wote wa kihafidhina na wasomi huru wanakubali kwamba somo alilopenda zaidi Yesu, ambalo alihubiri na kufundisha mara nyingi zaidi, ni Ufalme wa Mungu. Lilikuwa ni ujumbe wake wa wokovu, mpango wake mkuu, na theolojia yake pendwa na ya ... Leer más

    $10.00 USD o gratis con Kobo Plus

  • Theolojia ya Kanisa, Mwongozo wa Mkufunzi

    Capstone Module 3, Swahili Mentor Guide

    Kanisa la Mwenyezi Mungu katika Yesu Kristo ni mojawapo ya mada zenye kuburudisha na muhimu zaidi katika Maandiko yote. Yesu wa Nazareti, kupitia kifo chake, kuzikwa, na ufufuo wake, ameinuliwa kuwa kichwa juu ya watu wake wapya, wale walioitwa kumwakilisha duniani na kutoa ushahidi wa Ufalme wake ambao tayari upo japo haujakamilika bado. Kuelewa jukumu la Kanisa katika mpango wa ufalme wa Mungu ... Leer más

    $10.00 USD o gratis con Kobo Plus

  • Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

    Cornerstone Curriculum, Swahili Student Workbook

    Mtaala wa Cornerstone ni mafunzo ya hali ya juu kwa viongozi wa Kikristo ambao huenda wasihitaji au wasiwe na muda wa kupata mafunzo ambayo huchukua miaka kadhaa. Mtaala huu unatoa maarifa na ujuzi kuhusu uongozi wa Kikristo katika muundo mfupi. Mafunzo haya bora yanajumuisha sehemu kuu tatu. ... Leer más

    $10.00 USD o gratis con Kobo Plus

  • Theolojia Katika Picha

    Picturing Theology, Swahili Edition

    Katika mkusanyo huu wa vielelezo na michoro, Dk. Davis anatoa mkusanyo wa picha uliojaa ufahamu ili kumsaidia mwanafunzi wa Bible na theolojia kuchunguza maana za dhana nyingi ngumu za Maandiko. Anasema katika Utangulizi, “Ingawa mchoro wakati mwingine unaweza kutolewa kama kibadala duni cha maelezo fasaha ya hoja kuhusu wazo au dhana, tamathali za semi, michoro, au alama nzuri, mara nyingi ... Leer más

    $10.00 USD o gratis con Kobo Plus