Skip to main content

Panier

Vous profitez des avantages réservés aux VIP !

Article(s) non disponible(s) à la vente
Veuillez vérifier votre panier. Vous pouvez supprimer le ou les articles qui ne sont pas disponibles maintenant ou nous les supprimerons automatiquement au moment du règlement de la commande.
articlesarticle
articlesarticle

Recommandé pour vous

Loading...

eBooks Ouvrages de référence

Si vous aimez les titres Ouvrages de référence, vous allez adorer cette sélection.
Affichage de 1 à 4 sur 4 résultats
Skip side bar filters
  • Usiyoyajua Kuhusu Qur'an na Waislamu

    Kitabu hiki kimewakusudia wale wote wanaotaka kujua mizizi ya dini ya uislamu. Kimejengwa katika Sura kuu nne ambazo asili yake zinachochea udadisi na kiu ya watu kuchimba zaidi na kuja na maarifa yanayoweza kuwakomboa wanaadamu katika karne ya ishirini na moja (21). Kitabu hiki kitawanufaisha zaidi watafiti na wanafunzi wanaoamini katika nguvu ya hoja katika kuyaendea maarifa na mada ... En savoir plus

    $11.99 CAD ou Gratuit avec Kobo Plus

  • Utata Kuhusu Nyakati za Mwisho

    Kuhusu Kitabu Hiki"Utata Kuhusu Nyakati za Mwisho" ni kitabu kinachochunguza maoni tofauti, misimamo, mitazamo, na shule za fikra katika mazungumzo ambayo daima yameleta mgogoro kwa dunia na wanazuoni wake. Mitazamo mbalimbali kuhusu "eskatolojia" inaweza kuchanganya wale wanaosoma mada hii, iwe kwa madhumuni ya kitaaluma au kwa lengo la kujenga, kuwezesha, na kuimarisha imani yao kama viungo vya ... En savoir plus

    $13.99 CAD ou Gratuit avec Kobo Plus

  • Historia & Maisha ya Yeshua Kristo

    Kitabu hiki MNNNMA ni kiberiti kinacho washa moto wa mabadaliko makubwa, na kama siyo mapinduzi ndani ya kanisa lote linalo zungumza Kiswahili. Katika hiki tunaona mtizamo mpya wa theolojia, changamoto katika tafsiri za biblia ndani ya lugha ya Kiswahili, na jipya zaidi ni uhamisho wa waumini toka udini kuelekea mahusiano na Mungu YHWH.Kitabu kinachukulia biblia yote kuwa fumbo la picha, na hivyo ... En savoir plus

    $6.99 CAD ou Gratuit avec Kobo Plus

  • Uadilifu Msingi Bora

    par Bill Pipki ...
    Uadilifu unahitajika zaidi wakati huu! Wengine wanaamini kuwa ufisadi ni janga kubwa zaidi kiasi kwamba wanahoji kama utamaduni wa uadilifu unawezekana. Hata hivyo, nina matumaini kwamba "vuguvugu la uadilifu" linawezekana. Vuguvugu hilo litasababisha kuimarika kwa utamaduni wa uadilifu. Kama vile chumvi inavyozuia kitu kuoza, uadilifu huzuia kuenea kwa ufisadi. Ni wakati wa uadilifu kupenya ... En savoir plus

    $13.99 CAD ou Gratuit avec Kobo Plus